• Home
  • About Us
  • Contact Us

LENZI YA MICHEZO

MICHEZO NA BURUDANI


  • Home
    • MICHEZO
    • KITAIFA
    • SOKA
    • KIMATAIFA
    Home / Unlabelled / MPIGA GITAA WA MSONDO NGOMA AAGA DUNIA KUZIKWA LEO SAA SABA

    MPIGA GITAA WA MSONDO NGOMA AAGA DUNIA KUZIKWA LEO SAA SABA

    Rahel Pallangyo Thursday, January 24, 2013
     


    Marehemu Ismail Mapanga, enzi za uhai wake.

    MPIGA gitaa la besi wa bendi kongwe ya Msondo Ngoma, Ismail Mapanga, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam na kuacha pengo kubwa katika bendi hiyo.

    Akizungumza na Handeni Kwetu leo jijini Dar es Salaam, Meneja wa bendi hiyo, Said Kibiriti, alisema taarifa za msiba wa mwanamuziki ni nzito kwao, huku akitarajiwa kuzikwa leo saa saba mchana.

    Kibiriti alisema kifo cha Mapanga ni pigo kubwa kwa bendi yao, hasa kutokana na mchango wake katika tasnia ya muziki wa dansi, akiwa na Msondo Ngoma.



    Alisema wamepokea kifo hicho kwa masikitiko makubwa, huku wakiamini kuwa wameumizwa na msiba huo wa mpiganaji mwenzao, aliyewaacha wapweke.

    “Ni msiba mzito kwetu sisi wa Msondo Ngoma pamoja na wadau wote wa muziki wa dansi hapa nchini, ukizingatia kwamba marehemu ni kiungo mahiri mno.

    “Familia yake imeona azikwe leo saa saba mchana, huku mwili wake ukiwa nyumbani kwake Tandika, baada ya kufariki katika Hospitali ya Temeke, alipokuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo,” alisema Kibiriti.

    Hata hivyo Kibiriti hakutaka kujibu swali la haraka ya mazishi ya mwanamuziki wake, hali inayoweza kuwanyima fursa ya kuzikwa na wadau na mashabiki wa Msondo kwa ujumla.

    Related Posts

    Post a Comment

    No comments

    Post a Comment

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    MPIGANAJI

    MPIGANAJI

    WATEMBELEAJI

    Blogu Marafiki

    • MICHUZI BLOG
      SERIKALI YAFANIKISHA AJIRA 1400 NJE YA NCHI - SERIKALI imefanikiwa kuzalisha ajira zaidi ya 1,400 za vijana kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika kipindi cha mwezi Novemba 2025 hadi sasa ikiwa ni mat...
      15 minutes ago
    • LENZI YA MICHEZO
      MATENDO YANAONGEA: RAIS SAMIA AFUNGUA MILANGO YA UCHUMI , ATAKA KIPATO CHA MWANANCHI KULINDWA - Wapiga ramli na wachochezi wanaojaribu kupuliza upepo wa vurugu nchini wanapaswa kuelewa kuwa usalama wa taifa na ulinzi wa miundombinu ndiyo roho ya u...
      23 minutes ago
    • ZanziNews
      Naibu Waziri Millya akutana na Uongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya - Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Kinyasi Millya (Mb), amekutana na...
      1 hour ago
    • HABARI NA MATUKIO
      TAARIFA KWA UMMA: BI. CATHERINE WENCELAUS MOSHI HAJATEULIWA KUWA BALOZI - Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
      9 hours ago
    • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
      LAWI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI - TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zan...
      11 hours ago
    • CCM Blog
      RAIS SAMIA AWATEUA MAKONDA, KATAMBI KUWA MAWAZIRI KAMILI -
      11 hours ago
    • MOBILA SAFARIS
      They say you are what you eat. In Tanzania, you are the energy of the earth. 🌋✨ - At Mobila Safaris, we believe a journey should do more than fill your camera roll—it should rejuvenate your soul. Fed by the nutrient-dense volca...
      17 hours ago
    • Wazalendo 25 Blog
      Afya : Makalla Aipongeza Serikali, JKCI yatoa Vipimo Bure kwa Magonjwa ya Moyo, Arusha. - Na Pamela Mollel,Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano w...
      1 day ago
    • BBC News Swahili
      Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro - Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Vene...
      3 days ago
    • HABARI MSETO BLOG
      -
    • WWW.BUKOBASPORTS.COM
      -
    Show 7 Show All

    TUFUATILIE

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    HABARI ZA MICHEZO PENDWA

    •  Kumbukumbu ya Samatta na Stars 2013: Je, Historia Itajirudia Leo Rabat?
      Kumbukumbu ya Samatta na Stars 2013: Je, Historia Itajirudia Leo Rabat?
      TIMU ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’,chini ya uongozi wa nahodha Mbwana Samatta na kiungo mchezeshaji mahiri, Faisal Salum 'Fei Toto...
    •  SH MILIONI 500 ZA RAIS SAMIA KWA TAIFA STARS NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI , SI MATUMIZI
      SH MILIONI 500 ZA RAIS SAMIA KWA TAIFA STARS NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI , SI MATUMIZI
      Hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa zawadi ya Shilingi milioni 500 kwa timu ya Taifa, Taifa Stars, baada ya kufuzu ha...
    •  SUMU YA KASHFA MITANDAONI: TAIFA LINAHITAJI AMANI NA SIO MIZOZO YA IMANI
      SUMU YA KASHFA MITANDAONI: TAIFA LINAHITAJI AMANI NA SIO MIZOZO YA IMANI
      Katika kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa juhudi za kulinda utulivu na mshikamano wa kitaifa mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kisias...
    •  WAZIRI MKUU AIPONGEZA TAIFA STARS, AZITAKA TFF, ZFA KUFANYA MAPITIO YA KANUNI
      WAZIRI MKUU AIPONGEZA TAIFA STARS, AZITAKA TFF, ZFA KUFANYA MAPITIO YA KANUNI
        WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kuiwakilisha vyema nchi katika mashindano ya Ko...
    •  SHAMRASHAMRA ZA MWAKA MPYA 2026: AMANI YA TANZANIA YASHINDA CHOKOCHOKO NA MAANDAMANO
      SHAMRASHAMRA ZA MWAKA MPYA 2026: AMANI YA TANZANIA YASHINDA CHOKOCHOKO NA MAANDAMANO
      Watanzania wameuanza mwaka mpya wa 2026 kwa kishindo cha furaha na amani ya kipekee ikiwa ni kielelezo cha wazi kuwa taifa hili ni kisiwa ch...
    •  TAHADHARI: ‘UTANDAWAZI NI CHUI’, TUJILINDE NA UTEKAJI WA AKILI NA FIKRA
      TAHADHARI: ‘UTANDAWAZI NI CHUI’, TUJILINDE NA UTEKAJI WA AKILI NA FIKRA
      Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii nchini, ambapo baadhi ya watu wameonekana kushabikia vite...
    •  SIRI YA MAFANIKIO YA UTALII NI UZALENDO
      SIRI YA MAFANIKIO YA UTALII NI UZALENDO
      Kushamiri kwa sekta ya utalii nchini Tanzania hivi sasa si jambo la bahati nasibu, bali ni matokeo ya mchanganyiko wa mambo makuu matatu: uh...
    • S ERIKALI KUANZA MKAKATI WA KUBAKIZA SH BILIONI 5.1 ZA MADINI KILA MWAKA
      S ERIKALI KUANZA MKAKATI WA KUBAKIZA SH BILIONI 5.1 ZA MADINI KILA MWAKA
      SERIKALI ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi mahiri wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha rasilimali za ma...
    • My Son, Barakatatu na Salim Ahmedy Issa watikisa orodha ya Tuzo za TAFFA 2025
      My Son, Barakatatu na Salim Ahmedy Issa watikisa orodha ya Tuzo za TAFFA 2025
        WAKATI msimu wa nne wa Tuzo za Filamu Tanzania (TAFFA) ukitarajiwa kufikia kilele chake Februari 14, 2026 katika ukumbi wa Super Dome Masa...
    •  MAMA MARIA NYERERE AFUNGUKA, ATOA FALSAFA YA UJENZI WA TAIFA
      MAMA MARIA NYERERE AFUNGUKA, ATOA FALSAFA YA UJENZI WA TAIFA
      MAMA wa Taifa, Maria Nyerere, ametoa wito mzito kwa Watanzania kudumisha mshikamano na kutumia mazungumzo kama njia pekee ya kuvuka changamo...

    Wasomaji Kimataifa

    Flag Counter

    MAKTABA YA MICHEZO

    BURUDANI GOFU HABARI JEZI JUDO KIKAPU KUOGELEA MICHEZO MICHEZO KIMATAIFA MICHEZO KITAIFA NGUMI RIADHA SANAA SOKA TAFF TFF WALEMAVU WANAWAKE

    KUMBUKUMBU ZA MICHEZO

    MARAFIKI

    HABARI MCHANGANYIKO

    HABARI MPYA

    HABARI ZINASOMWA ZAIDI

    • RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi kwa mechi tano katika miji ya Bukob...
    • RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII NA MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA 2013/2014
      RATIBA Jumamosi 31 Agosti 14:45 - Manchester City v Hull City 17:00 - Cardiff City v Everton 17:00 - Newcastle United v Fulham 17:0...
    • HAWA NDIO MANCHESTER UNITED INAOWANYATIA KWENYE USAJILI LIGI KUU ENGLAND
      David Moyes is hoping for a more successful transfer window this time around Luke Shaw of Southampton ...

    Copyright (c) 2012 - 2025 LENZI YA MICHEZO All Right Reserved

    Designed by Gadiola Emanuel - 0784 643 633
    Template By TBN | Developed By Gadiola Emanuel