Pages

Friday, January 11, 2013

LIONEL MESSI AKATAA KUITOA REAL LA LIGA

Golden Balls! Lionel Messi akiwa pamoja na tuzo zake nne za Ballon D'Or
Barcelona:
NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi amesema licha ya Real Madrid kujitoa katika mbio za ubingwa, kamwe hawezi kuiweka pembeni.

Messi amesisitiza: "Hakuna kinachoshindikana La Liga. Miaka michache iliyopita, Madrid ilituengua kileleni jumla.  Tunajua hatuwezi kuiondoa katika mbio hizi. Tunahitaji kuendelea kama tunavyofanya na si kufanya makosa kwa kujisahau."

No comments:

Post a Comment