Pages

Saturday, December 8, 2012

NASSIB RAMADHAN NA FRANCIS MIYEYUSHO WAPIMA UZITO TAYARI KWA MPAMBANO WA KESHO SAA KUMI JIONI

Mabondia Nassib Ramadhan na Francis Miyeyusho wamepima uzito leo tayari kumaliza zile tambo ambazo wamekuwa wakizitoa muda mrefu.

Mabondia hawa wamepima uzito leo kwenye uwanja wa Karume pamoja na mabondia woite wa mapambano ya utanguzi

Nasib Ramadhan (kushoto) na Francis Miyeyusho (kulia) wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito

Nassib Ramadhan akipima uzito



Francis Miyeyusho akipima uzito

Mkanda unaopambaniwa kesho

Nassib Ramadhan akisaini fomu za kupima afya

Francis Miyeyusho akipima uzito

No comments:

Post a Comment