Pages

Monday, November 26, 2012

KILIMANJARO STARS YATAKATA UGANDA BILA SAMATA NA ULIMWENGU

Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakishangilia bao kwenye mashindano ya Challengi yanayofanyika nchini Uganda.

TIMU  ya Kilimanjaro jana iliifunga Sudan mabao 2-0 bila ya washambuliaji wake mahiri wanaokipiga na TP Mazembe ya DRC inayomilikiwa na na tajiri wa kikongo Katumba.

Mabao ya Kilimanjaro yalifungwa na John Bocco baada ya kupokea pasi kwa Mrisho Ngassa kipindi cha kwanza, mchezo uliochezwa uwanja wa Namboole

No comments:

Post a Comment