Pages

Wednesday, October 3, 2012

SIMBA B YAIDUWAZA YANGA B, YASAWAZISHA BAO 2 NDANI YA DAKIKA 1 TAIFA

.Mshambuliaji wa Simba 'B',Emilly Mgeta akijaribu Kumtoka Beki wa Yanga 'B',Omary Amry katika mechi ya utangulizi kwenye Uwanja wa Taifa

Mshambuliaji wa Simba B Ramadhan Singano "MESI" akijaribu kuwatoka mabeki wa Yanga B kwenye mchezo wa utangulizi uliochezwa uwanja wa Taifa na kutoka sare ya 2-2

Add caption

TIMU za Simba B na Yanga B zimetoka sare ya 2-2  kwenye mchezo wa utangulizi uliochezwa uwanja wa Taifa

Simba B, inayofundishwa na Suleiman Matola, akisaidiwa na Amri Said ilizinduka dakika za lala salama na kusawazisha mabao yote.

 

Yanga B inafundishwa na Salvatory Edward akisaidiwa na Abubakar Salum yalifungwa na Kelvin Nkini kipindi cha kwanza na Notikel Masasi kipindi cha pili, 

 



No comments:

Post a Comment