Mchezaji Thomaas Jacob akijiandaa kusave mpira kwa mchezaji mwenzake Benard Anthony jana kwenye viwanja vya gymkhana jijini Dar es salaam |
Yohana Mwila akipeana fair play na MosesMabula baada ya mchezo wao jana kwenye viwanja vya Gymkhana |
Mchezaji mwenye ulemavu Benard Anthony akirudisha mpira kwa mpinzani wake Thomas Jacob kwenye mashindano ya Tenisi yanayodhaminiwa na Simba Cement kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam |
No comments:
Post a Comment