Pages

Saturday, September 15, 2012

ZANTEL YADHAMINI AFRICAN LYON

Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zantel, Sajid Khan (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo na Meneja Mkuu wa African Lyon, Rahim Kangezi ‘Zamunda’ wakati wa kutangaza dili la oleo mchana.

Kocha wa African Lyon, Pablo Ignacio Velez, (Kushoto) Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zantel, Sajid Khan, Mkurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo na Meneja Mkuu wa African Lyon, Rahim Kangezi ‘Zamunda’.

No comments:

Post a Comment