Pages

Friday, September 28, 2012

MABONDIA WATAMBIANA

Bondia Karama Nyilawila akipima afya kabla kupambana na Francis Cheka kesho

Franciss Cheka akipima uzito


Francis Cheka akiwa ameshika baadhi ya mikanda ambayo alishawahi kuitwaa


Mabondia Karama Nyilawila na Francis Cheka wametambiana kila mmoja kumtwanga mwenzake kwenye mpambano wa  UBO kg 75 utakaopigwa kesho kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba, jijini Da es salaam

 Pambano hili litakuwa la raundi 12 na kila mmoja anasema atampiga mwenzake kwa KO bila kusema ni katika raaundi ya ngapi

Kabla ya magwiji hawa kupanda ulingoni kutakuwepo na mapambano saba yenye raundi sita hadi nane

No comments:

Post a Comment