Pages

Thursday, August 23, 2012

Wachezaji waliochaguliwa kutoka kwenye mashindano ya copa coca cola yaliyomalizika hivi karibuni wakiwa mazoezini kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam

Hapa wanamaliza mazoezi wakitoka uwanjani na kocha wao Silvester Marsh

Hapa kocha mkuu Kim Poulsen anawapa mawaidha baada ya mazoezi

Wapo kwenye sala ya pamoja baada ya mazoezi

Wanakunywa maji baada ya mazoezi

Kuingia tu ameumia enker. Hapa mchezaji anapatiwa matibabu na daktari wa timu
.

No comments:

Post a Comment