Wachezaji waliochaguliwa kutoka kwenye mashindano ya copa coca cola yaliyomalizika hivi karibuni wakiwa mazoezini kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam |
Hapa wanamaliza mazoezi wakitoka uwanjani na kocha wao Silvester Marsh |
Hapa kocha mkuu Kim Poulsen anawapa mawaidha baada ya mazoezi |
Wapo kwenye sala ya pamoja baada ya mazoezi |
Wanakunywa maji baada ya mazoezi |
Kuingia tu ameumia enker. Hapa mchezaji anapatiwa matibabu na daktari wa timu |
No comments:
Post a Comment