Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, November 11, 2022

MAKAMU WA RAIS DK MPANGO AZINDUA TAMASHA LA BAGAMOYO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango akipokea zawadi ya picha ya Rais w. Samia Suluhu Hassan iliyochorwa na wanafunzi wa TaSUBa kabla ya kufungua rasmi Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo Novemba 11, 2022 ambalo linafanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment