Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, August 8, 2017

MO AZINDUA SIMBA APP


Wakati Simba SC ikiwa kwenye sherehe ya Simba Day, shabiki wa klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘MO’ amepewa heshima na uongozi wa klabu hiyo kuzindua App maalum ambayo imeanzishwa na klabu hiyo kwa lengo la kuwasogezea mashabiki habari muhimu ambazo zinahusu klabu. MO Blog imekuwekea picha MO Dewji akizindua Simba App.