Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, May 5, 2017

UNTOLD STORY KUONESHWA BUREEEE MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA
MSANII wa Sanaa za Maonyesho Amani Kipimo  anataraji kufanya onesho la  Igizo la Jukwaani linalokwenda kwa jina la Untold Story litakalo fanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa  jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini muandaji wa enesho  hilo Amani Kipimo amesema kuwa enesho ambalo litakuwa la bure  hivyo anawaomba kila mtu aliyopo nje na ndani ya Dar es Salaam  kufika katika ukumbi wa makumbusho Mei 18  mwaka huu.

Kipimo  amesema kuwa eneo hilo halina kiingilio  hivyo kuwaomba watu kufika kwa wingi kujionea namna ya wataalamu na manguli wa sanaa za jukwani watakavyokuwa wanatoa burudani na ujumbe kwa jamii.