Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, April 17, 2017

HERRERA NA RASHFORD WAITAKATISHA MAN U OLD TRAFFORD, CHELSEA IKILALA 2-0

 

Manchester United 2-0 Chelsea: Premier League match reportMarcus Rashford celebrates scoring the first goal with team matesUshindi huu wa Man United si tu ni mzuri kwao bali umewaachia maswali mengi Vinara hao wa England msimu huu wakiwa mbele kwa pointi 4 tu nyuma ya Timu ya Pili Tottenham Hotspur ambao wana alama 75 na Spurs 71. Bao za Man United hii leo zilifungwa na Rasford dakika 7 na lile la kipindi cha pili la Ander Herrera dakika ya 49. Mechi inayofuata kwa Man United itachezwa wiki ijayo huko genini Burnley siku ya Jumapili tarehe 23.Jose Mourinho celebrates after the matchJose MourinhoGary Cahill looks dejectedBao la pili la Man United limefungwa na Ander Herrrera baada ya kuachia shuti kali ndani ya 18 na mabeki wa Chelsea kujichanganya na Man United kupata bao la pili dakika ya 49.Rashford (kushoto) akipongezwa kwa bao kipindi cha kwanza dakika ya 7Dakika ya 7 tu Man united walipata bao la kuongoza kipindi cha kwanza kupitia kwa Rashford aliyewachomoka mabeki wa Chelsea na kufunga bao. Man Unitedwanaongoza bao 1-0 dhidiya Chelsea.Manchester United vs Chelsea, EPL LIVE score
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI:
De Gea; Valencia; Bailly; Rojo; Darmian; Fellaini; Herrera; Young; Pogba; Lingard; Rashford
Akiba: Romero; Blind; Fosu-Mensah; Shaw; Carrick; Mkhitaryan; Ibrahimovic

Chelsea wanaoanza XI: Begovic; Azpilicueta; Luiz; Cahill; Moses; Kante; Matic; Alonso; Pedro; Costa; Hazard
Akiba: Eduardo; Zouma; Terry; Loftus-Cheek; Fabregas; Willian; Batshuayi

Video thumbnail, Manchester United v Chelsea: The war of words so far between Jose Mourinho and Antonio Conte

No comments:

Post a Comment