Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 15, 2016

TAMASHA LA UTAMADUNI LA NAMASTEE TANZANIA LAFANYIKA DAR ES SALAAM

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. 
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya vikundi vya Utaamduni wa kihindi vikitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya vikundi vya Utaamduni wa kihindi vikitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kulia)akimsikiliza Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya (katikati)  wakati wa onesho la uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kulia ni  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
Wageni waalikwa wakifatila burudani mbalimbali wakati wa onesho la Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM

No comments:

Post a Comment