Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 18, 2016

TIGO FIESTA SUPER NYOTA YAFANA MWANZA

Msanii pekee wa kike aliyeingia Fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza,Yasinta akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Rock Bottom jijini Mwanza jana. 

Msanii mdogo kuliko wote kwenye  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, Aga Star akionyesha kipaji chake.


Msanii Nchama akiwania nafasi ya kushiriki fainali za Tigo Fiesta Super Nyota zitakazofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini mwanza jumamosi wakati wa msimu wa fiesta
Majaji wakiongozwa na Gardiner G Habash(katikati) wakihesabu kura kwenye mchuano wa  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza.Washindi walioingia fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja.