Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, August 20, 2016

POGBA AANZA VEMA MAN UTD IKIIFUNGA SOUTHAMPTON 2-0


Zlatan Ibrahimovic bao la pili kafinga kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili dakika ya 52 nakufanya United iwe mbele ya bao 2-0 dhidi ya Saint.Bao la Man United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic kipindi cha kwanza dakika ya 36.Hadi Mapumziko Man United 1-0 SouthamptonPogba akipash kabla ya mtanange kuanza leo hii 
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Bailly, Shaw, Pogba, Mata, Blind, Valencia, Fellaini, İbrahimovic
Southampton: Forster; Cedric, Fonte, Van Dijk, Targett; Hojbjerg, Romeu, Davis; Long, Tadic, Redmond