Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, April 13, 2016

MANNY PACQUIAO ALIVYOMCHAKAZA TIM BRADLEY

Bondia Mfilipino Manny Pacquiao amemchapa bondia kutoka Marekani Tim Bradley katika pigano lake la mwisho.
Mfilipino huyo ambaye alishindwa katika pigano lake kuu dhidi ya bondia tajiri zaidi duniani Floyd Mayweather amekuwa bingwa katika vitengo mbali mbali katika kipindi cha miaka 21 iliyopita tangu alipoanza ndondi.
Pacquiao alishinda kwa wingi wa pointi katika pigano hilo lililokuwa likitazamiwa na wengi. Pacquiao, amekuwa mbunge tangu mwaka wa 2010.
Amesema kuwa anastaafu ndondi za kulipwa iliawahudumie wananchi kisiasa.

Mfilipino huyo mcha mungu na muaniaji kiti cha useneta nchini kwao alithibitisha udedea wake ulingoni alipomuadhibu vikali mmarekani huyo.Manny Pacquiao lands a punch to bring down Timothy BradleyReferee Tony Weeks counts as Timothy Bradley gets upManny Pacquiao lands a punch against Timothy BradleyTimothy Bradley moves in to land a punch against Manny PacquiaoManny Pacquiao moves in with a punch against Timothy Bradley