Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, January 1, 2016

DIRISHA LA UHAMISHO - JANUARI 2016 KUFUNGULIWA KESHO


Dirisha la Uhamisho wa Wachezaji la Mwezi Januari 2016 lipo mbioni kufunguliwa kesho Januari 2.
Wadau wengi wana dhana kuwa Dirisha la Uhamisho wa Wachezaji la Mwezi Januari kwa England hufunguliwa Januari Mosi lakini si hivyo.
Dirisha hili hufunguliwa Saa 6 Usiku Januari 2 kwa Saa za Uingereza ikiwa ni Saa 9 Usiku kwa Saa za hapa Tanzania.