Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, December 10, 2015

CHELSEA YASONGA MBELE UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUIFUNGA FC PORT 2-0

Willian akishangilia bao lake baada ya kuifunga Timu ya FC Porto ikiwa ni bao la pili Jose Mourinho chini akiendesha mapambano ya kuwakumbusha wachezaji wake Willian alifunga bao la pili kwa shuti kaliDiego Costa akipongezwa na Hazard Diego aliachia shuti kali ambalo lilizaa bao la kujifunga wao wenyewe FC Porto mbele ya Mlinda mlango wao Casillas.