Kwa
hapa nchini unaweza kufuatilia michano hii ukiwa na king’amuzi cha
Startimes pekee. Lakini kama wewe si mteja wao usitie shaka, kuna njia
mbadala unayoweza kutumia kutazama LIVE michuano hii kupitia simu yako
ya mkononi tena BURE kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni fuata hatua zifuato.
1.Hakikisha
unatumia simu yenye Android, au kama una simu hizi Samsung, Huawei,
HTC, Techno, Sony au nyingine yoyote inayotumia Android.
2.Nenda kwenye Playstore ( unakodownload apps zingine) kisha search neno Tenbre.
3.Install application ya tenbre, jiunge Bure na Tazama Bundesliga bure.
Usisahau kunipa hapa mrejesho, je umeionaje?
No comments:
Post a Comment