2-0Ozil akishangilia bao lake la dakika za majeruhi!Olivier
Giroud dakika ya 77 aliipatia Arsenal bao na kufanya 1-0 dhidi ya
Bayern Munich. Dakika ya 90 kwenye muda wa lala salama Arsenal
waliongeza kasi na kuweza kupata bao na mtanange kumalizika 2-0, Bao
likifungwa na Mesut Ozil.Alama tatu muhimu!Petr Cech akiokoa langoni mwakeTheo Walcott akijishangaa Kipa wa Bayern Munich Neuer akiokoa shuti langoni mwake katika kipindi cha kwanza kilichomalizika 0-0 dhidi ya Arsenal.
Kipindi cha pili dakika ya 55 Ramsey aliumia na nafasi yake imechukuliwa na Alex Oxlade-Chamberlain
VIKOSI:
Arsenal starting XI: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Ramsey, Coquelin, Cazorla, Ozil, Walcott, Sanchez
Bayern Munich starting XI: Neuer, Boateng, Bernat, Lahm, Alaba, Alcantara, Costa, Alonso, Vidal, Lewandowski, MullerNje ya Uwanja wa Emirates usiku huu kabla ya kipute Arsenal v Bayern Munich

No comments:
Post a Comment