Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 6, 2015

WACHEZAJI WA MANCHESTER WAANZA MAZOEZI KWA MSIMU MPYA WA 2015/2016 WAKIWA NA JEZI MPYA CARRINGTON


Bosi Louis van Gaal akiwapa mbinu wachezaji wake leo wakati wa mazoezi wakiwa wamevalia jezi mpya kutoka Kampuni ya Adidas. Man United wanajiandaa na msimu mpya wa 2015/2016 ambapo mechi yao ya kwanza watakutana na Tottenham Hotspurs.

Memphis Depay kwenye mazoezi akikabwa na Daley Blind

Wachezaji wapya Matteo Darmian na Morgan Schneiderlin wakiwa kwenye Uwanja wa Mazoezi  wa Carrington leo jumatano mchana.

Bastian Schweinsteiger

Nahodha Wayne Rooney kuongoza mashambulizi msimu ujao

Van Gaal na Depay

Viajan chipukizi  Andreas Pereira na Guillermo Varela nao wanajipanga kuuona msimu mpya wa  2015-16 Juan Mata, Rooney, Young na Tyler Blackett
Makipa Sergio Romerto na De Gea

Rooney, Antonio Valencia wakiwa tayari kwa msimu mpya dhidi ya Tottenham

No comments:

Post a Comment