Ghana
ilinusurika na kuishinda Argentina 3-2 katika kundi Ba la michuano
inayoendelea ya kombe la dunia la vijana wasiozidi umri wa miaka 20.
Benjamin Tetteh,Clifford Aboagye na Penalti ya Yaw Yeboah iliipatia Ghana mabao 3-0 kufikia dakika ya 70.Lakini Giovanni Simeone na Emiliano Buendiabefore alifunga bao la pili ikiwa zimesalia dakika 10.
Matokeo hayo yanamaanisha kuwa Ghana ina pointi nne pamoja na Austria ambayo awali waliifunga Panama 2-1 .
Lakini vijana hao wa Black satelite wanaongoza kunda ba kwa tofauti ya mabao.
No comments:
Post a Comment