Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 17, 2015

JORDAN HENDERSON AIPA USHINDI LIVERPOOL UGENINI LIBERTY STADIUM KWA KUIFUNGA SWANSEA CITY 1-0


Jordan Henderson dakika ya 68 kipindi cha pili aliwafungia bao la kuonza Liverpool kwa kufanya 1-0 dhidi ya Swansea City kwenye Uwanja wake wa Nyumbani Liberty Stadium, Swansea.1-0Wachezaji wa Liverpool wakipongezana  baada ya kupata bao la pekee lililowapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Swansea City usiku huu.
Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0
VIKOSI:
Liverpool XI (3-4-3): Mignolet; Can, Skrtel, Sakho; Sterling, Allen, Henderson, Moreno; Lallana, Sturridge, Coutinho.
Akiba: Jones, Johnson, Toure, Lovren, Gerrard, Markovic, Lambert.
Swansea City XI (4-3-3): Fabianski; Naughton, Amat, Williams, Taylor; Ki, Cork, Shelvey; Sigurdsson, Gomis, Routledge.
Akiba: Tremmel, Rangel, Britton, Dyer, Montero, Oliveira, Emnes.

No comments:

Post a Comment