Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 8, 2015

HARRY KANE AIPA USHINDI SPURS UGENINI LOFTUS ROAD DHIDI YA QUEENS PARK RANGERS 2-1

Harry Kane akishangilia bao lake la pili Kwenye Mechi pekee ya Ligi Kuu England hii Leo huko Loftus Road, Tottenham Hotspur wamewachapa Wenyeji QPR Bao 2-1 na kushika Nafasi ya 6 kwenye Ligi hiyo.
Spurs walitangulia Bao 2-0 mbele kwa Goli za Harry Kane za Dakika ya 34 na 68 na QPR kufunga Dakika ya 75 kwa Bao la Sandro Mchezaji wa zamani wa Tottenham.
Bao hizi mbili za Harry Kane zimemfanya awe na Bao 26 katika Msimu huu. 
Harry Kane akishangilia bao lake2-1 Harry Kane akifunga bao zote mbili peke yake leo
Kipigo hiki kimewaacha QPR wakiwa Nafasi ya 3 toka mkiani.Kashkashi ilitokea kwa kutofautiana hapa..kati ya pande zote mbili.

No comments:

Post a Comment