2-1 Steven Gerrard aliongeza bao la pili
kipindi cha pili dakika ya 53, Bao hilo halikuweza kudumu sana Spurs
dakika ya 61 M. Dembélé alisawazisha bao hilo na kufanya 2-2Steven Gerrard akishangilia bao lake la pili kwa Liverpool
Mashabiki wa Spurs wakimpongeza Harry Kane baada ya kusawazisha bao kipindi cha kwanza dakika ya 261-1 Hadi mapumzikoHarry Kane dakika ya 26 kipindi cha kwanza hicho hicho aliisawazishia bao Spurs na kufanya 1-1 dhidi ya Wenyeji Liverpool.Lazar Markovic akishangilia bao lake.Akipongezwa!!!Lazar Markovic dakika ya 15 kipindi cha kwanza alitangulia kuziona nyavu za Spurs na kuwapatia bao Liverpool katika kipindi cha kwanza.1-0VIKOSI:
Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Markovic, Henderson, Gerrard, Moreno, Ibe, Coutinho, Sturridge.
Liverpool Akiba: Johnson, Lovren, Lambert, Lallana, Allen, Balotelli, Ward.
Tottenham Hotspur: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason, Lamela, Eriksen, Dembele, Kane.
Spurs Akiba: Paulinho, Soldado, Vorm, Townsend, Fazio, Chadli, Davies.
Mwamuzi: Phil DowdSturridge kuanza kwa Liverpool

No comments:
Post a Comment