3-0Ushindi huu umeipandisha Newcastle United nafasi ya 10 wakiwa na pointi 30 na kuwabakisha nafasi ya 18 Hull City ambao kipigo hiki kimewaacha na pointi 19.
Yoan Gouffran alifunga bao la tatu dakika ya 78 baada ya kukatiza katikati ya mabeki wa Hull akipewa pasi na Massadio Haidara na kufunga bao hilo na kuhitisha bao 3-0.
Dakika ya 50 Sammy Ameobi aliwafungia bao la pili Newcastle na kufanya 2-0 dhidi ya Hull city.Wachezaji wa Newcastle wakimpongeza Sammy AmeobiWachezaji wa Newcastle United wakipongezana..Cabella aliifungia bao la kuongoza dakika ya 40 na mtanange kwenda mapumziko 1-0 dhidi ya Hull City ambao walifunga bao la mkono kwa mpira wa adhabu mwishoni na Mwamuzi kuuona na kukataa bao hilo na kumpa mchezaji huyo Ahmed El Mohamady kadi ya njano kwa kudanganya.VIKOSI:
Hull City: McGregor, Elmohamady, Dawson, Davies, Robertson, Ramirez, Livermore, Huddlestone, Meyler, Hernandez, Jelavic
AKIBA: Bruce, Brady, McShane, Harper, Ince, Aluko, Quinn
Newcastle United: Krul, Janmaat, Coloccini, Williamson, Haidara, Anita, Colback, Cabella, Sissoko, Ameobi, Perez
AKIBA: Santon, Cisse, Gouffran, Obertan, Riviere, Abeid, Alnwick
Refa: Phil Dowd

No comments:
Post a Comment