Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, January 29, 2015

COPA DEL REY: ATLETICO 2 vs 3 BARCELONA (Agg 2-4) BARCA WASONGA NUSU FAINALI!!

2-3(Ag 2-4) ndivyo majibu yalivyokuwa mpaka dakika ya mwisho ya dakika ya 90 na Barca kuibuka na Ushindi huku mchezaji wao matata Neymar akiifungia bao 2.Neymar aliwafungia bao la tatu Barcelona baada ya kuwachomoka mabeki wa Atletico Madrid kwa kuwakacha na Jordi Alba kutoa pasi aliyoimalizia Langoni Neymar katika dakika ya 41.

Bao la kusawazisha Barca wamejifunga wenyewe Atletico Madrid kupitia kwa Miranda katika dakika ya 38 baada ya kumalizia mpira uliopigwa kona.
Dakika ya 30 Raúl García aliifungia bao la pili Atlletico Madrid na kufanya 2-1 kwa mkwaju wa penati. Katika Mechi ya Kwanza iliyochezwa Nou Camp Wiki iliyopita, Barcelona waliibuka washindi kwa Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 85 la Lionel Messi ambalo alilifunga baada ya Penati yake kuokolewa na Kipa na Mpira kumrudia tena na kuukwamisha wavuni na hivyo Barcelona kusonga Nusu Fainali kwa Jumla ya Mabao 4-2 na watakutana na Mshindi kati Getafe na Villareal ambao katika Mechi yao ya kwanza, Villareal alishinda Bao 1-0.
Kwenye Mechi ya usiku huu, Fernando Torres aliipa Atletico Bao la kuongoza na Neymar kusawazisha.
Kisha Penati ya Raul Garcia ikawapa Atletico Bao la Pili lakini Beki wao Miranda akajifunga mwenyewe na Neymar akaipa Barca Bao la 3 na la ushindi.
Balaa kwa Atletico lilikuja pale Gabi alipopewa Kadi Nyekundu wakati wa Haftaimu Wachezaji wakielekea Vyumba vya Kubadili Jezi na Mario Suarez kufuatia mwishoni.


Dakika ya 9 Neymar aliwasawazishia bao barcelona na kufanya 1-1 (Agg ikiwa 1-2). Bao hilo lilipatikana baada ya Luis Suarez kutoa pande kwa Neymar.Dakika ya 1 tu Fernando Torres anaichapa bao Barca na kufanya 1-0 dhidi ya Timu ya Barcelona baada ya kupata mpira kutoka kwa Guilherme Siqueira.1-0 Torres aliweka bao la kwanza mapeeema ndani ya dakika 1Mechi ya Kwnza Messi aliifungia bao BacaVIKOSI:
ATLETICO MADRD XI (4-4-1-1): Oblak; Juanfran, Miranda, Gimenez, Siqueira; Gabi, M Suarez, Raul Garcia; Ardia, Griezmann, Torres
AKIBA: Moya, Gamez, Lucas, Saul, Cani, Jimenez, Mandzukic

BARCELONA XI (
4-3-3): Stegen; Pique, Mascherano, Alba, Alves; Busquets, Iniesta, Rakitic; L Suarez, Messi, Neymar
AKIBA: Masip, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano, Mathieu

No comments:

Post a Comment