Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, December 11, 2014

UEFA CHAMPIONS: BARCELONA 3 vs 1 PSG, LIONEL MESSI KWENYE HISTORIA TENA

Barcelona wamefunga bao zake kupitia kwa Lionel Messi dakika ya 19 kisha Neymar kufunga bao la pili dakika ya 41. Luis Suárez alimaliza bao la tatu dakika ya 77 na mtanange kumalizika kwa 3 - 1. 

Paris Saint-Germain bao lao lilifungwa  na  Zlatan Ibrahimovic dakika ya 15 kipindi cha kwanza.Neymar akishanglia bao lake la pili kwa timu yake dakika ya 41
Luis Suarez aliimaliza bao la tatu PSG usiku huu.

No comments:

Post a Comment