MAKUNDI AFCON 2015: WENYEJI EQUATORIAL KUNDI A KUUMANA NA CONGO-BRAZZAVILLE
DROO ya kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika huko Malabo Nchini Equatorial Guinea. Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A
pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina Faso na wao ndio
watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya Congo-Brazzaville. Mechi ya Fainali ya Mashindano haya itafanyika hapo Februari 8. KUNDI A Equatorial Guinea Congo-Brazzaville Gabon Burkina Faso
No comments:
Post a Comment