
Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Alexis Sanchez's



VIKOSI:
Arsenal: Martinez, Mertesacker, Ramsey, Sanchez, Koscielny, Monreal, Oxlade-Chamberlain, Chambers, Flamini, Cazorla,Welbeck.
Akiba: Gibbs, Rosicky, Podolski, Giroud, Sanogo, Bellerin, Macey.
Bao: Sanchez 89
Southampton: Forster, Clyne, Fonte, Alderweireld, Bertrand, Steven Davis, Wanyama, Cork, Long, Pelle, Tadic.
Akiba: Kelvin Davis, Yoshida, Gardos, Mane, Mayuka, Reed, Targett.
Refa: Andre Marriner

Alexis Sanchez akiendesha mpira dhidi ya mchezaji wa Southampton Nathaniel Clyne

Mathieu Flamini dhidi ya Graziano Pelle

Alexis Sánchez aliifungia Arsenal bao dakika za majeruhi dakika ya 89 na kufanya 1-0 dhidi ya Southampton.

Arsenal chupuchupu!!


Nani kuibuka Kidedea usiku huu kati ya Arsenal vs Southampton

Wachezaji wa Arsenal wa kifanya mazoezi na akiwemo Aaron Ramsey na Calum Chambers kwenye Uwanja wa Mazoezi London Colney
No comments:
Post a Comment