Juan Mata aliyeingia kipindi cha
kuchukua nafasi ya Januzaj ndie aliyeifungia bao la kwanza United katika
dakika 67 kipindi cha pili na kufanya 1-0 dhidi ya Crystal Palace
waliokuwa wameishika kooni United tangu kipindi cha kwanza.Wayne Rooney akiendesha mpira kipindi cha kwanza...Fellaini akimiliki mpira kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza kimemalizika 0-0 kati ya Man United dhidi ya Crystal Palace Uwanjani Old Trafford.Kocha wa Man United Van GaalMichael Carrick nae ndani dhidi ya Crystal Palace
Kabla ya Mtanage
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, Valencia, Carrick, McNair, Shaw, Blind, Januzaj, Fellaini, Rooney, Di Maria, Van Persie.
Akiba: Mata, Lindegaard, Ander Herrera, Fletcher, Vermijl, Blackett, Wilson.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Dann, Delaney, Ward, Puncheon, McArthur, Ledley, Bolasie, Chamakh, Campbell.
Akiba: McCarthy, Doyle, Hennessey, Gayle, Fryers, Bannan, Kelly.
Refa: Chris Foy

No comments:
Post a Comment