Arsenal watakuwa huko Villa Park kuivaa Aston Villa ambao wako Nafasi ya Pili na Liverpool wako Upton Park kucheza na West Ham United.
Jumapili zipo Mechi 4 na mvuto ni Leicester City v Man United ikifuatiwa huko Etihad Man City v Chelsea.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumamosi Septemba 20
14:45 QPR v Stoke
17:00 Aston Villa v Arsenal
17:00 Burnley v Sunderland
17:00 Newcastle v Hull
17:00 Swansea v Southampton
19:30 West Ham v Liverpool

15:30 Leicester v Man United
15:30 Tottenham v West Brom
18:00 Everton v Crystal Palace
18:00 Man City v Chelsea
No comments:
Post a Comment