Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, September 17, 2014

BORUSSIA DORTMUND YAIFUNGA ARSENAL MABAO 2-0 UEFA CHAMPIONS LEAGU,

 Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia bao lake.Wachezaji wa Borussia Dortmund wakishangilia bao lao la pili lililofungwa kipindi cha pili dakika ya 48 na Pierre-Emerick Aubameyang.Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akichukua mpira ndani ya lango lake baada ya kuchomwa bao la pili na wajerumani Borussia Dortmund usiku huu kwenye mchezo wa kwanza wa Klabu Bingwa Ulaya (Uefa Champions)2-01-0 Borussia Dortmund wanaongoza..bao likifungwa dakika ya 45 na Ciro Immobile kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko.Kipute kikiendelea kipindi cha kwanza..Alexis Sanchez wa Arsenal akipambana..
Mchezaji wa Dortmund Neven Subotic na Danny Welbeck wa Arsenal wakichuana vikali usiku huu kwenye mchezo wa Ufunguzi wa pazia lao Uefa Champions Ligi.

VIKOSI:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Durm, Subotic, Papastathopoulos, Schmelzer, Aubameyang, Bender, Kehl, Grosskreutz, Mkhitaryan, Immobile.
Subs: Langerak, Kagawa, Jojic, Ramos, Ginter, Bandowski, Amini.

Arsenal: Szczesny, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Sanchez, Ramsey, Wilshere, Ozil, Welbeck.
Subs: Ospina, Rosicky, Podolski, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Chambers, Campbell.
Referee: Olegario Benquerenca (Portugal)
View image on TwitterMashabiki wa Borussia DortmundUEFA CHAMPIONS LEAGUE
MAKUNDI
RATIBA
Jumanne Septemba 16

KUNDI A
Juvsentus VS Malmö FF
Olympiakos VS Atlético Madrid

KUNDI B
Liverpool VS Ludogorets Razgrad
Real Madrid VS FC Basel

KUNDI C
Benfica VS Zenit St Petersburg
Monaco VS Bayer 04 Levserkusen

KUNDI D
Borussia Dortmund VS Arsenal
Galatasaray VS RSC Anderlecht

No comments:

Post a Comment