Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, August 23, 2014

BUNDESLIGA: BAYERN 2 vs 1 WOLFSBURG, THOMAS MULLER NA ARJEN ROBBEN WAANZA MSIMU VYEMA

Dakikaya 37 kipindi cha kwanza Thomas Müller anaifungia bao la kwanza Bayern Munich kwa kufanya 1-0 dhidi ya Wolfsburg baada ya kazi nzuri ya Arjen Robben kwa kukatiza ndani ya box na kupiga chenga mabeki na kutoa pasi iliyoguzwa na Muller na
kutinga nyavuni./media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_09_GET_220814.jpgDakika 37 akishangilia bao lake/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_17_GET_220814.jpg1-0/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_15_GET_220814.jpg
Dakika ya 47 Arjen Robben aliwaipachikia bao la pili na kufanya 2-0 akipewa pasi na Robert Lewandowski.
Ivica Olic wa Wolfsburg aliwapachikia bao safi na kufanya 2-1 kipindi cha pili dakika ya 52 baada ya kupata pasi kutoka kwa Vieirinha./media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_13_GET_220814.jpg/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_01_GET_220814.jpg/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_04_GET_220814.jpg/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_11_GET_220814.jpg/media/images/homepage/fotogalerie-14-15/wolfsburg/FCB_WOB_02_GET_220814.jpg

Kiungo wa Wolfsburg, Junior Malanda alikosa bao la wazi dhidi ya Bayern Munich jana usiku.
NYOTA wa Wolfsburg, Junior Malanda ameingia kwenye rekodi ya kukosa bao la wazi zaidi na kusababisha timu yake kufungwa.
Wakikabiliana na mabingwa watetezi, Bayern Munich katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga, kiungo huyo wa ulinzi mwenye miaka 19 alishindwa kumfunga Manuel Neuer baada ya kufanikiwa kumuacha na kubaki yeye na goli, lakini alichofanya ni ajabu.Tazama picha.


Malanda alikuwa kwenye karibu na mstari wa goli na kutakiwa kusawazisha kiulaini, lakini alikosa.

Kiungo wa Wolfsburg alikosa bao akiwa yeye na kipa.

Malanda haamini kilichotokea

Malanda akijilaumu baada ya kukosa goli la wazi.
BUNDESLIGA
RATIBA/ MATOKEO
Mechi za Ufunguzi
Ijumaa Agosti 22
Bayern Munich 2 vs 1 VfL Wolfsburg

Jumamosi Agosti 23
16:30 Hannover 96 vs Schalke 04
16:30 Hertha Berlin vs  SV Werder Bremen
16:30 Eintracht Frankfurt vs SC Freiburg
16:30 FC Köln vs Hamburger SV
16:30 TSG Hoffenheim vs FC Augsburg
19:30 BV Borussia Dortmund v Bayer 04 Leverkusen

Jumapili Agosti 24
16:30 SC Paderborn 07 vs FSV Mainz 05
18:30 Borussia Mönchengladbach vs VfB Stuttgart

No comments:

Post a Comment