Beki Ron Vlaar alijitokeza kupiga penati hiyo lakini kipa wa Argentina Sergio Romero aliokoa penati hiyo na kupelekea Argentina kushinda kwa penati 4-2 katika mchezo huo na kutinga fainali ya michuano hiyo ambapo sasa watakwaana na Ujerumani Jumapili.
Akihojiwa mara baada ya mchezo huo, Van Gaal amesema aliwataka wachezaji wawili kupiga penati kabla ya kumchagua Vlaar kwaababu alidhani alikuwa mchezaji mzuri ndani ya uwanjani hivyo anaweza kuwa anajiamini. Lakini mambo yalikuwa tofauti na hiyo inaonyesha jinsi gani changamoto ya mikwaju ya penati ilivyokuwa sio kitu rahisi.
No comments:
Post a Comment