Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, July 11, 2014

Sanchez kupimwa afya leo kabla ya kuanguka saini yake Emirate kwa mkataba wa uhamisho wa pauni milioni 30


Alexis Sanchez anatarajiwa kuwasili jijini London alhamisi kukamilisha mpango wa uhamisho wenye thamani ya pauni milioni £30 wa kujiunga na Arsenal.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona atasafiri kuelekea huko akitokea nchini Hispania kukamilisha mpango huo ikiwa nia pamoja na kumalizia mambo ya maslahi yake binafsi na kufanyiwa vipimo vya afya yake.
Taarifa zinasema kuwa vipimo vya afya vitafanywa leo
 

No comments:

Post a Comment