Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 25, 2014

WORLD CUP 2014: GREECE 2 vs IVORY COAST 1

SamarisBao la Greece limepatika kipindi cha kwanza dakika ya 42 kupitia kwa Andreas Samaris baada ya mchezaji wa Ivory Coast kutoa pasi fupi na mchezaji huyo wa Greece kuupata na Georgios Samaras kutoa pasi na Andres kutofanya makosa kwenye lango la Ivory Coast, Na kipindi cha kwanza kumalizika Greece wakiongoza kwa bao 1-0.
Bao la Ivory Coast lilifungwa na Bony Dakika ya 74 baada ya kazi nzuri ya mlisho wa mpira kutoka kwa Gervinho. Greece walipata bao lao la ushindi kwenye dakika za nyongeza kwa mkwaju wa penati likifungwa na Georgios Samaras baada ya mchezaji wa Ivory Coast Sio kumfanyia rafu kwenye eneo hatari machezaji wa Greece Samaras na kufanya bao kuwa 2-1 na Greece Greece wamefuzu kuingia Raundi ya Pili ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.Kwenye Raundi ya Pili, Greece wataivaa Costa Rica ina Ivory Coast wamefungasha virago ikiwa ni Fainali yao ya Tatu mfululizo ya Kombe la Dunia kutolewa hatua ya Makundi huku Kocha wao Sabri Lamouchi akitangaza kujiuzulu mara baada ya Mechi hii.Samaras akichonga penatiDrogba akichuana kuwania mpira wa kichwa na mchezaji GreeceMashabiki wa Ivory Coast wakishangilia kwa nesha scarf juu
VIKOSI:
Greece: Karnezis, Torosidis, Papastathopoulos, Manolas, Holebas, Christodoulopoulos, Maniatis, Karagounis, Kone, Salpingidis, Samaras.
Subs: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis, Mitroglou, Vyntra, Gekas, Fetfatzidis, Katsouranis, Samaris, Tachtsidis, Kapino.
Ivory Coast: Barry, Aurier, Kolo Toure, Bamba, Boka, Die, Tiote, Kalou, Yaya Toure, Gervinho, Drogba.
Subs: Gbohouo, Viera, Zokora, Bolly, Akpa Akpro, Bony, Konan, Diomande, Gradel,
Djakpa, Sio, Sayouba.

Referee: Carlos Vera (Ecuador)

No comments:

Post a Comment