Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 18, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014: BRAZIL 0 vs MEXICO 0, NEYMAR ASHINDWA KUFURUKUTA!! TIMU ZIKITOKA SARE!

Chupuchupu!!!!!!!!!!!!! Kipa wa Mexico akiokoa jahaz langoni mwake...Guillermo 'Memo' Ochoa reacts to one of his splendid saves, with Rafael Marquez, left, and Andres Guardado.Kipa wa Mexico Ochoa(kulia) akipongezana na Marquez baada ya kuokoa na kusaidia timu yake kutoruhusu bao hata moja langoni mwake dhidi ya Brazil, Timu zote mbili zimemaliza mtanange huu zikiwa Nguvu sawa ya bila kufungana ya 0-0. Akiokoa mishuti minne langoni mwake..moja ni lile la Neymar likiwa la kichwa hapo kwenye uwanja Fortaleza, Estadio Castelao.
Chupuchupu Brazil waifunge Mexico...hapa!Neymar tena....Neymar (katikati) akiendesha....Tupo tayari kwa lolote!!Ni Brazil v Mexico...Jezi na Viatu vya Timu ya Brazi...

Sisi ni mashabiki wa Mexico

Mashabiki Brazil uwanjani  Estadio Castelao

VIKOSI:
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, David Luiz, Marcelo, Paulinho, Fred, Neymar, Oscar, Ramires, Luiz Gustavo
Subs: Jefferson, Victor, Dante, Maxwell, Henrique, Maicon, Fernandinho, Hernanes, Bernard, Willian, Jo.

Mexico: Ochoa, Rodriguez, Marquez, Herrera, Layun, Dos Santos, Moreno, Guardado, Peralta, Aguilar, Vazquez

No comments:

Post a Comment