Gareth Bale akishangilia bao lake kipindi cha pili
Real Madrid wana Pointi 73 baada ya kuichapa Rayo Vallecano Bao 5-0 Jana Usiku. Bao za Real zilifungwa na Cristiano Ronaldo, Carvajal, Gareth Bale, Bao 2, na Morata.
Ushindi huo umeifanya Real kuzinduka toka wimbi la kufungwa Mechi mbili mfululizo za La Liga walipochapwa 4-3 na Barca na kufuatia kipigo cha 2-1 toka kwa Sevilla Jumatano iliyopita.
Cristiano Ronaldo, Carlos Henrique Casemiro pamoja na Bale wakipongezana baada ya Ronaldo kuwapachikia bao la kwanza dakika ya 14.
Alvaro Morata alimalizia bao la mwisho katika dakika ya 77 kipindi cha pili
Angel Di Maria na Pepe wakimpongeza Daniel Carvajal kwa kuwafungia bao na yeye
Cristiano Ronaldo ....njoooni !!!! Ronaldo akishangilia kivyake baada ya kuwanyooshea mambo kwa bao lake la kwanza.
Pisha njia!!
Ronaldo akishangilia.
Ronaldo akiwapelekesha wachezaji wa Rayo usiku
Gareth Bale nae hakuwa nyuma kwa upande wake Real Madrid alifunga bao mbili.
VIKOSI:
Real Madrid: Diego Lopez, Pepe, Ramos, Coentrao, Cristiano Ronaldo, Benzema (Morata 72), Bale, Alonso, Carvajal, Di María (Casemiro 68), Illarramendi (Isco 61)Substitutes not used: Casillas, Varane, Marcelo, Nacho
Scorer: Ronaldo 14; Carvajal 54; Bale 67, 70; Morata 77
Booked: Carvajal
Rayo Vallecano: Ruben, Arbilla, Ze, Borja, Rat, Saul, Trashorras, Falque, Rochina (Jose Carlos 24), Bueno (Viera 58), Larrivey (Samuele Longo 68)
Substitutes not used: Cobeno, Nacho Martinez, Raul Baena, Lass, Samuele Longo, Viera
Attendance: 60,174
No comments:
Post a Comment