Bao moja la Cristiano Ronaldo usiku lilitosha kuwapatia ushindi Real walipocheza ugenini kwa Malaga, Bao hilo lilifungwa mapema kipindi cha kwanza dakika ya 23 baada ya kupata pasi kutoka kwa Gareth Bale na kuachia shuti na kumfunga kipa wa Malaga Caballero mbele ya mashabiki 29,265. Ushindi huu unawapaisha tena Real kwa kupata pointi 70 kileleni wakifuatiwa na Atletico de Madrid waliopata ushindi tena jana kwa kuwafunga Espanyol bao 1-0 mfungaji akiwa Diego Costa. Ambao wanashikilia nafasi ya pili na pointi zao 67, Nafasi ya tau ni Barcelona wakiwa na pointi 63 ambao pia leo hii wapo uwanjani kukipiga na Osasuna.
Ronaldo (katikati) akishangilia bao lake katika dakika ya 23 kipindi cha kwanza.
Ronaldo akipongezwa na Marcelo pamoja na Xabi Alonso
Gareth Bale akikabana na Marcos Angeleri wa Malaga
Bale hakupata bao usiku wakati wanacheza na Malaga kwao kwenye uwanja wa Rosaleda
Kocha Real Carlo Ancelotti akitoa maelekezo kwa vijana wake
Ronaldo baada ya kukosa bao jingine hapa...
VIKOSI:
Malaga:
Caballero, Angeleri (El Hamdaoui 86'), Antunes, Tissone (Portillo 68'),
Sanchez, Ferreira, Garcia Sanchez (Iakovenko 68'), Camacho, Santa Cruz,
Barbosa Valente, Amrabat
Subs not used: Kameni, Perez, Casado Bizcocho, Jimenez Lopez
Real Madrid: Lopez, Carvajal, Marcelo, Alonso, Pepe, Varane, Modric (Illarramendi 90'), Isco (Jese 63'), Benzema (Di Maria 32'), Bale, Ronaldo
Subs not used: Casillas, Fabio Coentrao, Nacho, Morata
Goal: Ronaldo 23'
Ref: Juan Martinez Munuera
Usiku pia Atletico Madrid, Mchezaji Diego Costa aliwapatia bao la ushindi walipocheza na Espanyol

No comments:
Post a Comment