Dakika
ya 11 Cristiano Ronaldo anaipachikia bao Real madrid baada ya kupata
mpira uliopigwa kama krosi safi na Ángel Di María na hatimae Ronaldo
kujitwisha mpira huo kwa kichwa hadi langoni mwa Levante.
Kipindi cha kwanza kinamalizika Real
wakiwa mbele ya bao 1-0. Kipindi cha pili dakika ya Marcelo 49 baada ya
kupata pasi kutoka kwa C. Ronaldo. Dakika ya 64 Levante wanapata pengo
baada ya mwenzao kupata kadi nyekundu kwa David Navarro. Dakika za lala
salama za mwishoni dakika ya 81 Levante wakajifunga wenyewe kupitia
mchezaji wao Nikos Karabelas.Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake kwa kuruka juu.
Ushindi huu wa bao 3-0 Real Madrid wanapanda zaidi kileleni kwa pointi tatu juu. Wakifuatiwa na Atletico de Madrid wenye pointi 64 na Barca wakiwa nafasi ya Tatu wakiwa na pointi zao 63 baada ya kufungwa mechi yao ya Jumamosi.Marcelo mchezaji wa Real anayekipiga Real akishangilia bao lake dhidi ya Levante usiku huu..Wachezaji wa Real wakipongezana baada ya Marcelo kuwafungia bao la piliBale chupuchupu awafunge Levante!Karim Benzema leo akuweza kufurukuta ...kakabwa sana!!

No comments:
Post a Comment