Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, March 26, 2014

FULL TIME: NEWCASTLE 0 v EVERTON 3, BARKLEY, ROMELU LUKAKU NA LEON OSMAN WAIPA USHINDI EVERTON NA KUIPANDISHA JUU!

Mchezaji Ross Barkley anawapachikia bao Everton dakika ya 22 baada ya kukatiza kuanzia katikati ya uwanja na kupitiliza hadi kwa mabeki wa Newcastle na kufika kwenye box na kuachia shuti na kuifunga Newcastle.LIVE: Newcastle 0-1 Everton

Kwa sasa ni mapumziko, Everton wanaongoza bao 1-0.
Dakika ya 53 kipindi cha pili Romelu Lukaku anaipatia bao la pili Everton baada ya kupokea pasi kutoka kwa Gerard Deulofeu.

Dakika ya 88 Leon Osman anaipatia bao la tatu Everton baada ya kupata mpira kutoka kwa Romelu Lukaku.

No comments:

Post a Comment