Arsenal
wamepata pigo tena usiku huu baada ya kutoka sare ya bao 2-2 na Swansea
City Emirates usiku huu baada ya kukubali sare hiyo wakijifunga wao
wenyewe kwenye dakika za mwishoni. Swansea ndio walioanza kuifunga bao
Arsenal katika dakika ya 11 kupitia kwa Wilfried Bony kipindi cha
kwanza.
Arsenal walitarajiwa kuzinduka na kushinda Mechi waliyocheza kwao Emirates na kweli walitanguliwa kwa Bao moja na Swansea City hadi Mapumziko na kujibu mapigo Kipindi cha Pili na kufunga Bao 2 ndani ya Dakika moja lakini mwishowe waliimwaga Mechi baada kujifunga wenyewe katika Dakika ya 90.
Bao hilo la kusawazisha la Swansea City lilifungwa mwishoni baada kizaazaa Golini ambapo Leon Britton alitanga kufunga na Beki Per Mertesacker kumzonga na Mpira kumgonga Kipa Wojciech Szczesny na kumbabatiza Kiungo Mathieu Flamini na kutinga wavuni.

Hili ni pigo jingine kwa Arsenal katika kusaka Ubingwa Msimu huu kwani wamenasa Nafasi ya 4.Rosicky wa Arsenal akipelekeshana na Wilfried Bony wa Swansea
Mathieu Flamini dhidi ya Ashley Williams wa Swansea CityDa!!! Majanga jamani!!!! kila mchezaji akiwa hana hamu!!! Emirates
Wilfried Bony mambo safi kwake!!!Mathieu Flamini dhidi ya Ashley Williams wa Swansea CityDa!!! Majanga jamani!!!! kila mchezaji akiwa hana hamu!!! Emirates
No comments:
Post a Comment