Droo
ya Nusu Fainali ya FA CUP imefanyika hapo jana , Mabingwa Watetezi,
Wigan Athletic watacheza na Arsenal huku Hull City wakicheza na
Sheffield United. Mechi hizo za Nusu Fainali zitachezwa wikiendi ya
Aprili 12 na 13 Uwanjani Wembley.
Wembley tunaenda: Hull City wakishangilia Ushindi wao baada ya bao za Matty Fryatt , David Meyler na George Boyd dhidi ya Sunderland. Hull City waliinyuka bao 3-0 timu ya Sunderland
Wachezaji wa Sheffield United wakishangilia baada ya kuifunga Charlton bao 2-0 na kutinga Nusu fainali ya FA Cup na watacheza Wembley mwezi ujao wa nne.
RATIBA: FA CUP, NUSU FAINALI.
Hull City vs Sheffield United
Jumamosi, April 12, Wembley
Wigan Athletic vs Arsenal
Jumapili, April 13, Wembley
FAINALI: Jumamosi Mei 17

No comments:
Post a Comment