Bao za Liverpool zimefungwa na Daniel Sturridge katika dakika ya tatu (3) huku bao la pili likifungwa na Jordan Henderson katika dakika ya 20.
Wao Swansea wametokea nyuma ya bao 2-0 na ndani ya dakika 4 wakasawazisha bao zote mbili katika kipindi cha kwanza bao la kwanza likifungwa na Jonjo Shelvey katika dakika ya 23 na bao la pili likusawazishwa na Wilfried Bony katika dakika ya 27 kipindi hicho hicho cha kwanza.
Dakika ya 36 Daniel Sturridge wa Liverpool akawafunga bao jingine na kufanya 3-2 dhidi ya Swansea City.
Kipindi cha pili dakika ya 47 Wilfried Bony anaangushwa ndani ya 18 na kupatiwa penati, na Mkwaju huo wa penati anaufunga huyo huyo Bony na kusawazisha kuwa 3-3 dhidi ya wenyeji Liverpool. Dakika ya 74 Liverpool wakaongeza bao la nne baada ya kufanya mashambulizi ya hapa na pale na mfungaji akiwa ni Henderson baada ya kipa kuutema mpira na hatimae kuumalizia langoni mwa swansea City na kufanya 4-3.Wilfried Bony (kushoto) akimfunga kipa wa Liverpool kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 47 kipindi cha pili.Wilfried Bony akipongezwa na Leon Britton baada ya kufunga bao
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi Machi 1
18:00 Everton v West Ham
18:00 Fulham v Chelsea
18:00 Hull v Newcastle
18:00 Stoke v Arsenal
20:30 Southampton v Liverpool
Jumapili Machi 2
19:30 Aston Villa v Norwich
19:30 Swansea v Crystal Palace
19:30 Tottenham v Cardiff
Jumamosi Machi 8
15:45 West Brom v Man Utd
18:00 Cardiff v Fulham
18:00 Crystal Palace v Southampton
18:00 Norwich v Stoke
18:00 West Ham v Hull
20:30 Chelsea v Tottenham

No comments:
Post a Comment