Kocha
wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia,
akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid,
daktari Pedro Guillen amethibitisha.
Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008.Aragones aliiongoza Hispania kutwaa kombe la kwanza la Kimataifa kwa kushinda Ubingwa wa Ulaya mwaka 2008, ikiwa ni ushindi wao wa kwanza tangu kupita miaka 44. Pia wakati wa uhai wake aliwahi kufundisha klabu kadhaa za Hispania ikiwemo Barcelona na Atletico Madrid ambayo aliiwezesha kutwa kombe la La Liga mwaka 1977.Luis Aragones

No comments:
Post a Comment