Nahodha John Terry hii leo ameipa
ushindi Chlesea kwa bao pekee la dakika ya mwisho dhidi ya Everton na
kuendelea kujidhatiti zaid kileleni mwa msimamo wa ligi kwa timu yake
katika Barclays Premier League.
Ilikuwa ikidhaniwa pengine kikosi
cha Jose Mourinho kingeambulia alama moja kwani mchezo ulikwenda bila
mabao mpaka pale Phil Jagielka alipomfanyia madhambi Ramires.
Frank Lampard alipiga -free-kick- iliyompita Tim Howard.
Chelsea
sasa
itakuwa inajipanga kwa safari ya kuwafuata Galatasaray kuelekea katika
mchezo wa hatua ya mtoano ya 16 bora ya michuano Champions League mchezo
wa kwanza dhidi ya kikosi kikisi cha Didier Drogba mchezo ambao
utapigwa Jumatano.
Frank Lampard akipiga mpira wa free-kick.
MATCH FACTS
CHELSEA (4-2-3-1): Cech
7: Ivanovic 7, Terry 8, Cahill 8, Azpilicueta 7: Matic 7, Lampard 7:
Willian 5 (Torres 62, 4.5), Hazard 5.5, Oscar 5 (Ramires 46, 6): Eto’o 6
(Schurrle 69, 6). Subs not used: Schwarzer, Cole, Salah, Ba.
Booked: Oscar.
Goal: Howard (OG 90+3mins)
EVERTON (4-2-3-1): Howard 7: Coleman 7, Jagielka 7, Distin 8.5, Baines 7.5: Barry 7, McCarthy 7: Osman 7.5 (Barkley 60, 5.5), Naismith 7, Pienaar 6.5 (McGeady 80, 5): Mirallas 7.5 (Deulofeu 75, 6). Subs not used: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Garbutt, Stones.
Booked: Barry, Jagielka.
Attendance: 41,850
Referee: Lee Probert
Man of the Match: Sylvain Distin
Booked: Oscar.
Goal: Howard (OG 90+3mins)
EVERTON (4-2-3-1): Howard 7: Coleman 7, Jagielka 7, Distin 8.5, Baines 7.5: Barry 7, McCarthy 7: Osman 7.5 (Barkley 60, 5.5), Naismith 7, Pienaar 6.5 (McGeady 80, 5): Mirallas 7.5 (Deulofeu 75, 6). Subs not used: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Garbutt, Stones.
Booked: Barry, Jagielka.
Attendance: 41,850
Referee: Lee Probert
Man of the Match: Sylvain Distin
No comments:
Post a Comment