Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, January 17, 2014

NEMANJA MATIC ATUA CHELSEA KWA DAU LA £21m


Nemanja Matic amehamia Chelsea kwa Dau la Pauni Milioni 21.
Matic, Miaka 25 na Raia wa Serbia, ni Kiungo wa Benfica ya Ureno na anategemewa kurudi tena Stamford Bridge baada kuondoka Miaka mitatu iliyopita alipotolewa kafara ili Chelsea imsaini Beki wa Brazil David Luiz kutoka Benfica.
Matic alijiunga na Chelsea akitokea Klabu ya Slovakia, MFK Kosice, Mwaka 2009 kwa Dau la Pauni Milioni 1.5 na kuichezea Chelsea Mechi mbili tu akitokea Benchi.
On the dotted line: Matic signs his five-and-a-half year contract at the club's Cobham training ground
Matic amemwaga wino kwa kusaini mkataba wa miaka mitano na nusu na Klabu ya Chelsea
Mwezi Agosti 2010, Matic alipelekwa kwa Mkopo huko Vitesse Arnhem ya Uholanzi kabla kujiunga na Benfica Februari 2011 ili kufanikisha ujio wa David Luiz Klabuni Chelsea.

No comments:

Post a Comment